Kanuni za ushindi ni mfululizo wa masomo sita (6) yanayofundisha namna ya kutawala ulimwengu wa kimwili kwa kufanya mabadiliko (kuathiri) katika ulimwengu wa kiroho kuhusu jambo unalotaka kupata ushindi.
Mafundisho haya yanapatikana katika CD na DVD
Comments(2)
Grace says:
21 July 2017 at 15:24AsanteTicha, Mungu akuinue zaidi…umeweka kidogoooo!!
Mika says:
18 April 2021 at 12:13Ahsante sana mtumishi umenisaidia Sana kwa hili kiukweli sikuwa na haya maarifa ya kwenda na neno kwenye maombi