Christ Rabbon Ministries tunaamini katika nguvu ya maombi.

Kwa sababu hiyo timu yetu ya Waombaji inataka kukuombea. Tafadhali tutumie mahitaji yako ya maombi kwa kubonyeza sehemu iliyoandikwa “SHARE YOUR REQUEST OR PRAISE”. Tunaweza kukuombea Mungu akupe nguvu, uponyaji, baraka au hekima kwako au kwa mtu mwingine unayemfahamu. Ahsante kwa kutupa fursa ya kukuombea.

“Huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana
yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu”
(1 Petro 5:7)