Kumshinda Adui Mwili

Bwana Yesu Asifiwe! Leo tutazungumza kidogo kuhusu eneo moja la vita vya kiroho ambalo ni lazima mtoto wa Mungu apigane kwa bidii na kushinda ili kuweza kufanikiwa kimaisha. Eneo hilo ni la kupigana na adui mwili. Ndiyo, nina maana mwili wako unaweza kuwa adui wako, nikimaanisha adui wa roho yako....

Continue reading