Mpendwa Mtu wa Mungu,

Karibu sana katika ukurasa huu wa Duka Mtandao (Online Shop) ambalo linakuwezesha kununua CDs na DVDs za mafundisho mbalimbali kama njia ya kuchangia na kuwezesha huduma hii ya Christ Rabbon Ministries kusonga mbele.

Utaratibu ni kama ufuatao:

  • Kwanza chagua CD au DVD unayohitaji na idadi halafu iweke kwenye CART;
  • Endelea kuchagua CDs na DVDs zaidi na kuongeza kwenye CART;
  • Baada ya kukamilisha hatua hiyo bonyeza VIEW CART kuangalia uchaguzi wako;
  • Kama umeridhika nenda hatua inayofuata ya CHECKOUT ili kukamilisha manunuzi.

Malipo yatafanyika benki katika akaunti zetu au kwa MPesa na TigoPesa ukitaja namba ya Order yako. Baada ya malipo kukamilika mzigo utatumwa aidha kwa njia ya kawaida ya posta au kwa EMS kutegemea uchaguzi wako. EMS ni ghali zaidi.

Kama mji au eneo lako halipo katika orodha yetu basi wasiliana nasi kwa maelekezo zaidi kuhusu usafirishaji.

Showing 1–16 of 19 results