Vita vya Kiroho

Vita vya Kiroho ni mfululizo wa masomo sita (6) yanayofundisha namna ya kupigana vita katika ulimwengu wa kiroho ili kupata ushindi utakaowezesha kutawala ulimwengu wa kimwili.

Mafundisho haya yanapatikana katika CD na DVD

Comments(3)

 1. Reply
  Ticha Mgisa says:

  Hiki chakula kigumu, si cha watoto. Watavunjika meno.

 2. Reply
  Timothy Zabloni says:

  Mtumishi kwa njia gani naweza nikapata CD, au vitabu vyako ulivyoandika?

 3. Reply
  Anonymous says:

  Bwana Yesu asifiwe Mwalimu

  Nimeibiwa sanduku langu nililohifadhi CD na DVD zote za mafundisho yako kamili zaidi ya aina 12 mfano Upotofu,Kumshida Adui Mwili,Karama na Huduma,Kusifu na Kuabudu,Malango ya muda,Ukuhani wa Kifalme n.k je nitayapataje?

Post a comment