Maombi

1. Prayer Request:
Tuma mahitaji yako ya kuombewa kwa kubonyeza HAPA kwenda kwenye ukurasa wa maombi, halafu bonyeza “SHARE YOUR REQUEST OR PRAISE”

2. Intersession:
Ombea mahitaji ya watu wengine kwa kubonyeza HAPA utaona orodha ya mahitaji yanayohitaji kuombewa. Ukishaomba bonyeza “I PRAYED FOR THIS”

Vipindi vya Redio

Sikiliza Mafundisho katika Redio zifuatazo:

1. RADIO KICHEKO FM, 91.1 MHz, kila siku saa 3 asubuhi;

2. UPENDO RADIO FM, 107.7 MHz, kila Jumanne saa 3 hadi 4 usiku;

3. WAPO RADIO FM, 98.1 MHz, kila Alhamis saa 4 hadi 5 usiku.

MAFUNDISHO

Kutokana na wingi na ukubwa wa media zinazobeba mafundisho yetu, haitawezekana kusoma, kusikiliza na kuona kila kitu katika tovuti hii. Hapa tunaweka mafundisho machache kwa muhtasari na kukuelekeza namna ya kuagiza na kupata CD za audio, na DVD za video zenye mafundisho haya. Bonyeza "Mafundisho" kwenye menu hapo juu kuona orodha ya mafundisho zaidi, na bonyeza "Changia Huduma" kupata utaratibu wa kuagiza CD na DVD za masomo mbalimbali.

Barua ya Mwezi

  • Kumshinda Adui Mwili

    Bwana Yesu Asifiwe! Leo tutazungumza kidogo kuhusu eneo moja la vita vya kiroho ambalo ni lazima mtoto wa Mungu apigane kwa bidii na kushinda ili...

    Read more